Photo
click to show
click to show
MAZIWA: ni moja ya chanzo kizuri sana cha madini ya kalsiamu ambayo ni muhimu kwa afya ya mifupa yako, ambacho kina asilimia kubwa ya madini ya kalsiamu yanayofyonzeka takribani 20% mpaka 40% kwani sukari yake na vitamin D husaidia ufyonzaji wake. https://t.co/UFhepfFMiC
13 · Photo
click to show
click to show
Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) linauomba umma kupuuza bango hili kwani halikuandaliwa na Baraza. Wapo watu wasio na nia njema wameandaa kwa lengo la kupotosha umma. Aidha, Baraza linatoa onyo kwa watu wenye tabia hii kuacha mara moja kwani huu ni upotoshaji . https://t.co/Wl46IrMYi1
14 ·