Web appOpen in Telegram

PostKama uikua hujui kuwa kupitia SIMU YAKO unaweza kutambua TETEMEKO LA ARDHI wacha nikufahamishe;-

8 June 2025
P
Photo
click to show
Kama uikua hujui kuwa kupitia SIMU YAKO unaweza kutambua TETEMEKO LA ARDHI wacha nikufahamishe;- Watu wengi wanatumia simu kwa mawasiliano, Pamoja na kutuma pesa tu lakini hawajui kuwa, Simu ina uwezo wa kutambua hapo ulipo, Muda mchache ujao tetemeko la ardhi linaweza kutokea, Au kama unatembea huko mbele kuna tetemeko la ardhi, Au huko unako kwenda muda mchache ujao tetemeko la ardhi litatokea, Na kukufahamisha wewe kwa kukupigia alarm, Sasa leo kupitia grupu hili la Maajabu Ya Dunia wacha nikufahamishe, Unaweza kushangaa na kubisha hili jambo, Lakini huo ndiyo ukweli kwamba simu hasa za smart phone, Zina uwezo wa kutambua kuwa sehemu fulani ulipo, Au unayo kwenda muda mchache ujao litatokea tetemeko la ardhi, Tena zina uwezo wa kutambua hadi mile 26.5 sawa na kilometa 45.56, Kutoka eneo ulipo hapo yaani ndani ya umbali huo, Simu yako ya smart phone inaweza kutambua, Na kukujulisha kwa kukupigia alarm maalumu kuwa,
739 ·

Nearby in the feed

PPOWER VPN UNLIMITEDPOWER VPN UNLIMITED Expired 31-5-2025 Speed 🐌🐌🐌 VPN: HTTP CUSTOM💛 💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜 https://t.me/luhovero26code 💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜 💜TELEGRAM CHANNEL💜POWER VPN UNLIMITEDPPOWER VPN UNLIMITEDAnaye hitaji kujua kuunda file la Ttcl inbox 0627416938
this message
PPOWER VPN UNLIMITEDMuda mchache ujao ndani ya kilometa hizo, Patatokea tetemeko la ardhi hivyo basi chukua tahadhari, Lakini simu hiyo ili ikujulishe kwanza unatakiwa kuiseti kwa PPOWER VPN UNLIMITEDANAYETAKA CHANNEL YA TELEGRAM NICHEKI WHATSAPP +255627416938
PPOWER VPN UNLIMITEDPOWER VPN UNLIMITED@luhovero26code · channel · Tech
1 134subscribers1 317posts in the index
Venue feed Open in Telegram

An open public feed from the search index ChatCrawler — “Google for public Telegram”; refreshed as the venue is crawled. Times are UTC.

Public content only, official Telegram API. About · FAQ · What we do not do · Remove a page · Catalog · Search · How we count