Web appOpen in Telegram

PostMuda mchache ujao ndani ya kilometa hizo,

8 June 2025
P
Muda mchache ujao ndani ya kilometa hizo, Patatokea tetemeko la ardhi hivyo basi chukua tahadhari, Lakini simu hiyo ili ikujulishe kwanza unatakiwa kuiseti kwa kufanya hivi;- 1) HATUA YA KWANZA Nenda sehemu ilioandikwa SETTING halafu bonyeza. 2) HATUA YA PILI Nenda sehemu ilioandikiwa WIFI halafu bonyeza. 3) HATUA YA TATU Nenda sehemu ilioandikwa WIFI PREFFERENCE halafu bonyeza. 4) HATUA YA NNE Nenda sehemu ya kuwasha data ilioandikwa, AUTO SWITCH TO MOBILE DATA au nenda sehemu, Ilioandikwa TURN ON WIFI AUTOMATICALLY, Halafu bonyeza ili uwashe data au uwashe WIFI, Lakini kama UTABONYEZA AUTO SWITCH TO MOBILE DATA ili uwashe data, Ni lazima ubonyeze pia sehemu iliyoandikwa TURN ON WIFI AUTOMACALLY ili uweze kuendelea, Lakini kama utabonyeza sehemu ilioandikwa TURN ON WIFI ATOMATICALLY moja kwa moja, Bila kuwasha data hutakiwi kuwasha tena data, Kwani utaweza kuendelea moja kwa moja na sehemu inayofuata, Ambayo ni hatua ya tano hiyo hapo chini. 5) HATUA YA TANO Nenda sehemu ilioandikwa LOCATION washa yaani weka on. 6) HATUA YA SITA Shuka chini kwenye ukurasa huo huo utakutana na sehemu, Ilioandikwa EARTHQUAKE ALERT halafu bonyeza. Kwakufanya hivyo hapo utakua umemaliza kuiseti simu yako, Na tetemeko likitaka tu kutokea ndani ya kilometa 45.56, Kabla halijatokea simu yako itapiga alarm maalumu, Itakayo kujulisha kuwa eneo hilo muda mchache ujao patatokea tetemeko. NB;- Ni lazima sehemu ya location kwenye simu yako iwe ON, Ndiyo simu yako itaweza kuhisi kutokea kwa tetemeko la ardhi, Katika eneo ulipo au unapo kwenda ndani ya kilometa nilizo kutajia hapo juu. Makala hii imeletwa kwenu na HASSAN LUHOVERO kutoka Dar es salaam
859 ·

Nearby in the feed

PPOWER VPN UNLIMITEDAnaye hitaji kujua kuunda file la Ttcl inbox 0627416938PPOWER VPN UNLIMITEDKama uikua hujui kuwa kupitia SIMU YAKO unaweza kutambua TETEMEKO LA ARDHI wacha nikufahamishe;- Watu wengi wanatumia simu kwa mawasiliano, Pamoja na kutuma pes
this message
PPOWER VPN UNLIMITEDANAYETAKA CHANNEL YA TELEGRAM NICHEKI WHATSAPP +255627416938PPOWER VPN UNLIMITEDWANAO HITAJI FOLLOWERS KWENYE SOCIAL MEDIA YOYOTE NICHEKI WHATSAPP +255627416938
PPOWER VPN UNLIMITEDPOWER VPN UNLIMITED@luhovero26code · channel · Tech
1 134subscribers1 317posts in the index
Venue feed Open in Telegram

An open public feed from the search index ChatCrawler — “Google for public Telegram”; refreshed as the venue is crawled. Times are UTC.

Public content only, official Telegram API. About · FAQ · What we do not do · Remove a page · Catalog · Search · How we count